Afe kipa afe refa leo ndizi lazima ziliwe...
View attachment 1694788
Mrejesho...zilitoka ngumu kama ugali wa Kisukuma ila zililiwa hivyo hivyo tu [emoji51][emoji51][emoji51]
😂😂😂aje atoe mrejesho..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyama je
Kwel yan... Mwenza RafikiWacha maneno mengi rafiki mwenza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afe kipa afe refa leo ndizi lazima ziliwe...
View attachment 1694788
Mrejesho...zilitoka ngumu kama ugali wa Kisukuma ila zililiwa hivyo hivyo tu [emoji51][emoji51][emoji51]
Si bure lazima kuna mkono wa mtu hapa aisee [emoji38][emoji38][emoji38]
Nazo pia naona hazikuiva sawa sawa...Nimeambiwa eti inabidi kupika nyama pembeni halafu ikiiva ndo unachanganya na ndizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyama je
😃😃😃siku unaanza vyema sanaa...[emoji23]tayari kaka na Mungu pia
Ohooo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijasahau ulitoa ahadi kama tatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena kabisaah hadi nimeogopa, maana mie na kupigwaa ni tofauti haswaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa akilewa ndo anakua real yaan.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila walevi waache waitwe walevi[emoji38][emoji38][emoji119]
Sikujua kama mtu akinywa pombe anachangamka Sana mdomoni[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji870][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila walevi waache waitwe walevi[emoji38][emoji38][emoji119]
Sikujua kama mtu akinywa pombe anachangamka Sana mdomoni[emoji23]