The Queen of Sheeba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 342
- 2,976
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii , Jinsia , na Watoto , Ndugu Doroth Gwajima amepiga Marufuku Neno Kibamia linalotumiwa sana na Wanawake katika kuwadhalilisha Wanaume hasa wakiachana.
"Kuna tabia imeibuka siku za karibuni na imeendelea kuota mizizi unakuta dada akiwachana tu na aliyekuwa mpenzi wake basi silaha ni kumtangaza kwamba ana 'kibamia' huu ni udhalilishaji kama udhalilishaji wa kijinsia na wanaume wengi wameharibiwa saikolojia kwa kutamkiwa neno hili 'kibamia' hivyo ni marufuku neno hili kutumika kwenye jamii na mwanaume akidhalilishwa kwa kutamkiwa neno hili akaripoti kituo cha Polisi adhabu ni faini ya kulipwa laki tano au mtenda kosa aende jela miezi sita au vyote kwa pamoja." Waziri Doroth Gwajima.
.
SHARE
Hatimaye Wanaume tuliokuwa tunadhalilishwa na akina Dada tumepata mtetezi, Mungu atupe nini tena [emoji123]
Sasa nitatembea kifua mbele, ole wao akina Minnah, Sarah, Linnah waniite Kiba100 tena, miezi 6 Jela itawahusu [emoji1738][emoji28]
Kwahiyo unafurahia tunavyooendelea kuonewa??
Niko poaWalyekum salaam.
Mzima
Endelea kufungua mlango kwa Bwana bila kukoma.Nimekuwa nikifanya hivi tangu utoto wangu.
Nifanye lipi tena kufunguliwa nawe??
Nifungulie tafadhali[emoji87]
Endelea kuusubiri ufalme wa MunguKwa kuwa tumeagizwa kuomba bila kukoma, namimi naahidi kutochoka mpaka utakapofungua mikono kunipokea
karembo[emoji139][emoji139]View attachment 1685940
kumbe tupo wengi me nipo na sponje bobBaada ya kumaliza mihangaiko ya Monday mimi na katunika..View attachment 1686041
[emoji106].kumbe tupo wengi me nipo na sponje bob
Shule si zimefunguliwa??Snap it ,show itView attachment 1686076
nasubiri hapaKakigeuka ndo balaaa[emoji7]
Asante mkuu
kanigeukie basi kama hapa hakawezi hata PM nisafishe macho mie😎Kakigeuka ndo balaaa[emoji7]
Asante mkuu
mkuu unazoom nini tena