Yaani kazi ninayofanya nikikutajia hutoamini hata.
Ngoja iwe siri yangu besti..
Acha tu niwe mkweli japo nimechelewa, huu mkono uliojazia umenivutia!!
Inatosha kabisaaSi inatosha hata hiyo Sakayo.
Halafu wewe...
Acha tu niwe mkweli japo nimechelewa, huu mkono uliojazia umenivutia!!
Hii miguu mbona ya kapeace
Hahaha.. Bonekaga mamii[emoji23][emoji23]
Kuna watu hapa nahisi hata mambo mengine yamesimama maana kila nikizunguka nikirudi wapo tu kwenye huu uzi.
Hii miguu mbona ya kapeace
Ng'ombe hazeeki maini omba matchNapata picha anavyojilaza hapo kifuani kwa madeko huku akibinya mikono hiyo......kwakweli wanafaidi nimetamani kujidogosha
Hiyo rangi yake imefifia kiasi
Si ndio wewe huyoHuchezi mbali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutaki mambo mengine mazuri!??
Huu uchonganishi umeuanza lini king?
Ipo kule juu kabisa hata nikikuambia hauwezi kuendaNioneshe sijaiona
Aaah wapi ni wewe huyo