Uzi ni noma huu umevunja rekodi kwa kukusanya kijiji chote, mmu na chitchat
Aise ngoja safari hii nipande shabibyNi habari nyingine.
Zililetwa mwezi Dec..
Yaani ukipanda unasahau shida zote..kuna Hadi choo.
Embu fanya kunitag nione cheupe dawa....
MMU na Chitchat iko dugu moja, ni hivi recently tu ndio imekuwa na utengano...
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] kiuno mamaaHanna haniwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibonge mwenye nyamaaaView attachment 1221856View attachment 1221857View attachment 1221859
Twin Depal
Wasitutishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hallelujah
Usinune basi kesho njoo uwe jaji tu
Aisee!
Aisee, rudia kwa manufaa ya wengiNimeshatupiamo
Uncle 🙊😋😋😋😋😋
Ulisema leo una mtoko!!! Oook msalimie shemela na usiku mwema piaSijanuna mpenzi wangu kesho nitakuwepo, usiku mwema sasa.
Umeona nyoka amaAisee!
Ok sawa acha nifanye mafekechee!!Nitakulinda pulizii.
Chitchat hii jamani...hautapotea[emoji8][emoji8]
Tuma picha kwa ajili ya mashabikiUnasemaje Marianah? Unataka nitume nini na kwa ajili gani?
Ooops, huu uzi unakimbia kweli... Sidhani kama nitauona embu nirushie PM tuuone nipate farijiko la moyo kama wengine [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ana kiuno matata[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] kiuno mamaa
Nilishazoea.
Uwezo wangu umeishia hapo