Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha linahbaby kahusikaje/kaingiaje hapa mkuu [emoji1][emoji1]

Nimepika mimi nilikuwa najifunza kupika

Shemeji yangu Chakorii bhana
Si ndo mamsap wa sitori au sio.

😅😅kama ni wewe ndo umepika hiyo mboga na unajifunza!basi unafaa kwa matumizi jombaa safi!

Yani Shemeji yako mimi au nani maana sijaelewa 😆😆😆😆😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…