Kwa kweli sitaki tena ushirikiano na wewe. Nilijua utakuwa umejifunza kinge angalau unitafsirie kumbe kushney babuji. Hujasahau tulimkosa mchumba kisa x-pozha? Sifili secure kabisa kuwa na urafiki na wewe
Ewe mtumishi mwema. Njoo tu hata uwe mama kabisa wa haka kabinti kwa kweli. Nako kanampenda Mungu sana na mtakuwa wamoja sana katika utumishi wenu. Karibu sana mtumishi