ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,631
we mtanga eeeh[emoji8]....Bukhour .. kwa ajili ya kujifukiza unukie
Mchumba [emoji7]
Hiyo ni perfume mpendwaOh
Na hicho kwenye chupa ni nini?
Ni udi?
Yes mchumba, karibu!Mchumba [emoji7]
AkhsanteYes mchumba, karibu!
Karibu kwangu[emoji847]Mapema kabisa leo, nialikeni wadauView attachment 1573736
OhooHiyo ni perfume mpendwa
Akhsante mdogo wangu mzuriSaint Anne this is for you nishajua weakness yakoView attachment 1573748
Hawa ndio marafiki ambao sio wanafiki kina Franklin Roosevelt [emoji106][emoji106][emoji106]Mapema kabisa leo, nialikeni wadauView attachment 1573736
Dah!PM ni nini mi mshamba sijuiAkhsante mdogo wangu mzuri
Nitumie PM tafadhali
Hapa naweza kuwahiwa na wadau nikaikosaDah!PM ni nini mi mshamba sijui
Ooh!basi sawa Ila ni VDM unaitumiaHapa naweza kuwahiwa na wadau nikaikosa
Weka tu,nikiikosa itakuwa si bahati yangu
Nakuletea Mkuu hakikisha hubanduki hapa lkn usisahau kijiselfisha ni muhimu kwa uhai was huu uzi
[emoji56][emoji56][emoji56]Ohoo
Sawa
Sipatii picha unavyonukia[emoji4]