[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Heeeeeeh jomoneeeeeh niliwamic moaaah
[emoji102][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
Amna sio kitu emoji zimeniponyoka[emoji102]
PoleeeehAmna sio kitu emoji zimeniponyoka
Wewe Timβs fulu piem mkuuTuma namba yako pm nikutumie ya full[emoji23][emoji28]
Nakuja chapWewe Timβs fulu piem mkuu
Mbona Siiion hiyo picha sasaNakuja chap
Nilikuwa najua ni mtu chake pekee mwenye kutaka kuja piem kumbe hata wewe..π πNdo maana eti eeeeee!!
PM yako umefunga wewe mwanamke
Kila nikijaribu kunena na mp yako maombi yangu hayajibiwi
Leo nimejaribu kukutumia hela pamoja na ya kutolea nikashindwa[emoji1]
Fungua bhana acha hizo
Kwahiyo jirani nyota yake ni kaniki π πNyota baba, kasafishe nyota
Boraπ πKwa kweli nyota wacha nikasafishe mkuu
Nyota yake ina mushkeliKwahiyo jirani nyota yake ni kaniki [emoji28][emoji28]
Hata mimi naona aiseNyota yake ina mushkeli
Keep it up πKulipa ulichojifunza kwenye elimu kwa chipukizi wa baadae ni utajiri wa roho
Summer Institute 2019 - Tanzania
View attachment 1566891
View attachment 1566892