Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,737 Reaction score 76,365 Aug 24, 2020 #70,861 Joanah said: Mkuu unajilamba kabisa Click to expand... Ndio
zagarinojo JF-Expert Member Joined Jul 26, 2020 Posts 2,622 Reaction score 2,855 Aug 24, 2020 #70,862 Love Love Love
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 24, 2020 #70,863 zagarinojo said: Love Love LoveView attachment 1546966 Click to expand... Una mwandiko mzuri unakaribia wa kwangu. Kwanini unaandika vizuri namna hii kama sisi dada zako?
zagarinojo said: Love Love LoveView attachment 1546966 Click to expand... Una mwandiko mzuri unakaribia wa kwangu. Kwanini unaandika vizuri namna hii kama sisi dada zako?
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,737 Reaction score 76,365 Aug 24, 2020 #70,864 Saint Anne said: Una mwandiko mzuri unakaribia wa kwangu. Kwanini unaandika vizuri namna hii kama sisi dada zako? Click to expand... Utani wa ngumi huu! Mwandiko wake unataka kufanana na wa Joanah!
Saint Anne said: Una mwandiko mzuri unakaribia wa kwangu. Kwanini unaandika vizuri namna hii kama sisi dada zako? Click to expand... Utani wa ngumi huu! Mwandiko wake unataka kufanana na wa Joanah!
zagarinojo JF-Expert Member Joined Jul 26, 2020 Posts 2,622 Reaction score 2,855 Aug 24, 2020 #70,865 Saint Anne said: Una mwandiko mzuri unakaribia wa kwangu. Kwanini unaandika vizuri namna hii kama sisi dada zako? Click to expand... haha!niliwahi kumdanganya best friend angu Nikaandika mfano wa love letter nikaacha kwenye desk lake akajua ni msichana
Saint Anne said: Una mwandiko mzuri unakaribia wa kwangu. Kwanini unaandika vizuri namna hii kama sisi dada zako? Click to expand... haha!niliwahi kumdanganya best friend angu Nikaandika mfano wa love letter nikaacha kwenye desk lake akajua ni msichana
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 24, 2020 #70,866 Don Juan said: Utani wa ngumi huu! Mwandiko wake unataka kufanana na wa Joanah! Click to expand... Haiwezekani mtoto was kiume anaremba namna hiyo kuliko hata sis dada zake
Don Juan said: Utani wa ngumi huu! Mwandiko wake unataka kufanana na wa Joanah! Click to expand... Haiwezekani mtoto was kiume anaremba namna hiyo kuliko hata sis dada zake
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,737 Reaction score 76,365 Aug 24, 2020 #70,867 Saint Anne said: Haiwezekani mtoto was kiume anaremba namna hiyo kuliko hata sis dada zake Click to expand...
Saint Anne said: Haiwezekani mtoto was kiume anaremba namna hiyo kuliko hata sis dada zake Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 24, 2020 #70,868 zagarinojo said: haha!niliwahi kumdanganya best friend angu Nikaandika mfano wa love letter nikaacha kwenye desk lake akajua ni msichana Click to expand... Hongera boss Nimependa mwandiko wako Kuna watu eti kwa vile tu ni wanaume basi mwandiko wanauparua Kama Bata anayepita kwenye tope
zagarinojo said: haha!niliwahi kumdanganya best friend angu Nikaandika mfano wa love letter nikaacha kwenye desk lake akajua ni msichana Click to expand... Hongera boss Nimependa mwandiko wako Kuna watu eti kwa vile tu ni wanaume basi mwandiko wanauparua Kama Bata anayepita kwenye tope
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 24, 2020 #70,869 Don Juan said: Click to expand...
Bmichy68 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2018 Posts 834 Reaction score 1,181 Aug 24, 2020 #70,870 Saint Anne said: Huwa unakunywa nini? Click to expand... Juice, maji pombe huwa situmiagi kbsa
Bmichy68 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2018 Posts 834 Reaction score 1,181 Aug 24, 2020 #70,871 Mzigua90 said: Itakua aliogopa akajua unaumwa Click to expand... Hamna walisema sistahili kutumia juice maana nmekaa kilevi Sana
Mzigua90 said: Itakua aliogopa akajua unaumwa Click to expand... Hamna walisema sistahili kutumia juice maana nmekaa kilevi Sana
Bmichy68 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2018 Posts 834 Reaction score 1,181 Aug 24, 2020 #70,872 Saint Anne said: Una mwandiko mzuri unakaribia wa kwangu. Kwanini unaandika vizuri namna hii kama sisi dada zako? Click to expand... Hata mm nmeshangaa sana
Saint Anne said: Una mwandiko mzuri unakaribia wa kwangu. Kwanini unaandika vizuri namna hii kama sisi dada zako? Click to expand... Hata mm nmeshangaa sana
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 24, 2020 #70,873 Bmichy68 said: Juice, maji pombe huwa situmiagi kbsa Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 24, 2020 #70,874 Bmichy68 said: Hata mm nmeshangaa sana Click to expand... Yaani huyu amenikumbusha rafiki yangu mmoja Tena alikuwa anaandikia mashoto yule kaka,aisee alikuwa na mwandiko mzuri ,wangu haioni ndani.
Bmichy68 said: Hata mm nmeshangaa sana Click to expand... Yaani huyu amenikumbusha rafiki yangu mmoja Tena alikuwa anaandikia mashoto yule kaka,aisee alikuwa na mwandiko mzuri ,wangu haioni ndani.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 24, 2020 #70,875 Bmichy68 said: Hamna walisema sistahili kutumia juice maana nmekaa kilevi Sana Click to expand... Hebu weka picha tuone Kama kweli umekaa kilevi
Bmichy68 said: Hamna walisema sistahili kutumia juice maana nmekaa kilevi Sana Click to expand... Hebu weka picha tuone Kama kweli umekaa kilevi
Bmichy68 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2018 Posts 834 Reaction score 1,181 Aug 24, 2020 #70,876 Saint Anne said: Click to expand... Huamini au?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 24, 2020 #70,877 Bmichy68 said: Huamini au? Click to expand... Ndiyo
Bmichy68 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2018 Posts 834 Reaction score 1,181 Aug 24, 2020 #70,878 Saint Anne said: Yaani huyu amenikumbusha rafiki yangu mmoja Tena alikuwa anaandikia mashoto yule kaka,aisee alikuwa na mwandiko mzuri ,wangu haioni ndani. Click to expand... Hahahah huyo left hand anayeandika vzr ni gifted aisee
Saint Anne said: Yaani huyu amenikumbusha rafiki yangu mmoja Tena alikuwa anaandikia mashoto yule kaka,aisee alikuwa na mwandiko mzuri ,wangu haioni ndani. Click to expand... Hahahah huyo left hand anayeandika vzr ni gifted aisee
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Aug 24, 2020 #70,879 Mzigua90 said: Hapana sijafanya hayo bby Click to expand... Na usifanye bby, jitunzee
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,823 Aug 24, 2020 #70,880 Hazard CFC said: Na usifanye bby, jitunzee Click to expand... Sawa bby najitunza