Cha kulia ugali πππLizzy; kijiko cha nini?
Unaogopa utaharibu kucha zako? [emoji16][emoji16][emoji16]Cha kulia ugali [emoji85][emoji85][emoji85]
Leo tu lakini[emoji846][emoji846]
Na kutufurahisha piaLeo nimejisikia kuwachosha π€ͺπ€ͺπ€ͺ
Hahahahaa aisee jamaa wasaliti Sana leo wanasema Mimi niliwanunulia bia za wamamaBob upo na wajumbe nini? Angalia ni wasaliti hao
Umetenda hakiKaribuni early dinner....[emoji493][emoji493][emoji493]
The #BEFOREView attachment 1543102
...and the #AFTER
View attachment 1543127
4G huku kijijini nitaipata wapi?Tumia 4G
ππππ hapana...sipo tu comfortable kula nazoπUnaogopa utaharibu kucha zako? [emoji16][emoji16][emoji16]
Sio uvivu bana ππUvivu wa kufinyanga na kuunda tonge lenye kishimi cha mbooga katikati
Sasa ambao htuna magari tunapost nn [emoji5]