[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni mwanangu ila nahisi nilibadilishiwa hospitali maana hata hafanani na wenzie[emoji134][emoji134]
Hazard CFC huyu ni mama yako mkubwa.
Khaaa... hivi vigezo ni vipi tena?Atupie kwanza kapicha nimpitishee....sitaki kumwita mama mkubwa mapema hivi[emoji16][emoji16]
Lizzy
Bahati nzuri mimi babako siangalii wa kwanza au wa mwisho, kwangu wote ni sawa tu!
Kaeni hapo mkinisengenya huku mwenzenu nishashiba. Mtakula masengenyo yenu.
Dah sema kweli[emoji39][emoji39][emoji39]Sinaga uchoyo ndg zangu wa dar kesho nawatumia[emoji8]View attachment 1542462
Mtu na Baba yake. Kazi unayo Dogo[emoji3]
Kipoo nimekivuta tu ndanii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sato wakwapi?Sinaga uchoyo ndg zangu wa dar kesho nawatumia[emoji8]View attachment 1542462
We waache wajifanye wajuaji, nikimaliza kula nawapita hapo sebuleni kama siwajui naenda zangu kulala.
Njoo ule kesho[emoji28]sato wakwapi?
Kbaaaa yanDah sema kweli[emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama mkubwa na wewe unakandia
Mambo babeSinaga uchoyo ndg zangu wa dar kesho nawatumia[emoji8]View attachment 1542462
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi natulia.