Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,389
Jizibe na emoj basi
Nawe unaamini kabisa kwamba BAK atathubutu kuweka picha hapa ili kuwarahisishia kazi maccm AKA WASIOJULIKANA.
Hongera mkuu..!Ila sasa ya size ile ninayo machache
Mengi ni marefu kuzidi lile
Ndiyo, chini nasindikiza na buti la jeje
Isogeze tu inasogea yenyewe π€π€Beautiful πππ
Toa Sasa hiyo emoj
Nataka niendane na Kasi ya vijana nisije sumbua uzeeniπ€£Hongera mkuu..!
Nguo ndefu ehhh?? πππTusiopenda kumbe tupo wengi tu π
Eeeeh ndiwooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee kwahiyo huwa unavaa kichugachuga
Ndiyoo πNguo ndefu ehhh?? πππ
Hebu usinivunje mbavu zangu [emoji1787][emoji1787]
Itakuja muda sio mrefuTukuone ndani ya hiyo ripped jeans basi.
Itakuja muda sio mrefu
Yesu wangu Mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya mwisho basi na weweNdiyoo [emoji3]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ni yule yule jana, leo na hata milele[emoji16][emoji16][emoji16]
HakikaπJamani hatujamaanisha kuvaa suruali zilizochanwa magotini ni vibaya tusije tukanukuliwa vibaya! Ila tu tumesema wengine hatuwezi kuvaa kwa sababu zetu wenyewe ila hazina ubaya wowote jamani!
Siku ukivaa ile ambayo haijachanika tuoneshe tusafishe macho [emoji848][emoji848]Jamani hatujamaanisha kuvaa suruali zilizochanwa magotini ni vibaya tusije tukanukuliwa vibaya! Ila tu tumesema wengine hatuwezi kuvaa kwa sababu zetu wenyewe ila hazina ubaya wowote jamani!