Huwezi kuwa mvumilivu kama Mkwepu aiseee
Miezi na miezi haandiki chochote,mi hadi nahisi ni robot yule[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaa sato inaenda safi kabisa.Grants mixer na Redd's[emoji1732]
Huku pia mambo yalikuwa bomba.jana nlifata kauli ya waziri mkuu....alisema tnakarbishwa chuo cha MUM...nkaona ngoja nkacheki wtt wakicheza kwa fraha na kuifrahia eid..[emoji3059]...nilifrahi sana View attachment 1523951
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa anaandika panapo ulazima tu
Acha kabisa kujaribu kujilinganisha na Mkwepu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa anaandika panapo ulazima tu
Tuache kunenepa utaniAaaaa sato inaenda safi kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu nione basi [emoji7]
USITUFOKEEWekeni selfie za wiki end
Karangi kazuri[emoji7][emoji7][emoji7]Nipo na hizi sasa. Zile baadae. View attachment 1524149
Hata wewe umeshamjua.Ni nani
Niambie ni nani huyo tunayefanania macho?Hata wewe umeshamjua.
Ile Avatar Yake aliweka hapa,yale macho ni kama hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaUSITUFOKEE
Usijifanyie miungu ya kuyeyusha[emoji4]Good night.
Cute[emoji8][emoji8][emoji846][emoji846]
View attachment 1524194
[emoji4]Niambie ni nani huyo tunayefanania macho?
wapi hiyo mkuu.......,Huku pia mambo yalikuwa bomba.
Ilikuwa napita nikasimama kusikiliza mawaidha.. yalikuwa mazuri kwa kweli.View attachment 1524140
Sent using Jamii Forums mobile app