Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,284
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha umeanza bado Dadaako hajaja na majungu hapa[emoji1787][emoji1787]
DuhDuh MI nilikuwa wap jamani ndo naona huu uzi leo[emoji29][emoji29]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi napenda wajeda[emoji7][emoji108]
Wala sikujungui
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mdadaNimemis hii vibes aisee[emoji38][emoji38]! Dah[emoji119]
Wooow[emoji7][emoji7][emoji7]Kama upo serious nichek PM na namba yako au ya wakala tugawane kidogo kilichopo
Ingia pm mdada ukamate manot hayo😋Kama upo serious nichek PM na namba yako au ya wakala tugawane kidogo kilichopo
Siku hizi nilivyo kimbaombao hadi najishangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12] hebu nibariki kwanza. Nikuone chibonge mwenzangu
Naenda kweli.Ingia pm mdada ukamate manot hayo[emoji39]
Uko kijiwe gani? Sogea 101 😉Ingia pm mdada ukamate manot hayo😋
Ongeza jitihada katika kula. Wacha stress na mawazo yasio na kichwa wala miguuSiku hizi nilivyo kimbaombao hadi najishangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishaacha kupiga picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza nirudi nyumbani.Ongeza jitihada katika kula. Wacha stress na mawazo yasio na kichwa wala miguu
Ngja nikupe zawadicocastic we nichezee akili tu [emoji3] nitakubonda shauri ako