Selfika na JF: Snap it. Show it

Yesu kimbilio hajawahi kuniacha
Yesu mwanga wangu
Mahali pa kujificha[emoji119][emoji119]

Yahweh we ni yote kwangu
Ee Yahweh ningekuwa wapi
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji445]

Yesu Kimbilio hajawahi kuniacha

Yesu mwamba wangu mahali pa kujificha

Anajua shida zangu yeye anazitatua

Bila yesu mimi ni mtu bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…