Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
YeahPamependeza.
Tofauti na zamani full mvurugano "wamasai, wajasi, madaladala mixer mi boda.
SafiThank you babe! Mambo yako?
π Ahsante kwa kujali. A good day to youSafi
Niliona unapita kimya kimya Jana.
Uliniona mpendwa?Yan kumbe ni wewe...
Uliniona mpendwa?
Good, ndio mimi aisee...[emoji2958][emoji3]Ndiyo
7 7 sikuwahi kupaelewa hata zamani.Yeah
Walipafumua kila kitu.
Ila kule sabasaba kubaya..daladala zimechanganyikana yaani papo hovyo Sana.
Pa hovyo Sana7 7 sikuwahi kupaelewa hata zamani.
Akhsante [emoji3590][emoji3526][emoji7] Ahsante kwa kujali. A good day to you
Defo mkuu.
Kwa kibabeeeh lol, enjoy life aseeehDakika za mwisho mwisho Dom, nimeufurahia muda wangu japo ukikuwa mchacheView attachment 1481515View attachment 1481517View attachment 1481516
Hakika panapendezaPamekuwa pasafi
Hii ndo ile pisi iloleta ule Uzi daah
8 8 sijawahi kanyaga. Magari yangu nilikuwa napandia area C tu (ABC na first choice) nasikia kuna vumbi moja la hatari huko 8 8Pa hovyo Sana
Hata nanenane kwa hovyo tu..
Hujasahau tu πHii ndo ile pisi iloleta ule Uzi daah
Hakuna anaweza sahau ile nightmare [emoji23]Hujasahau tu [emoji23]
Haha hivi ule Uzi upo kweli? Mabaharia mlitafutana sana πππHakuna anaweza sahau ile nightmare [emoji23]
Haha hivi ule Uzi upo kweli? Mabaharia mlitafutana sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Njugu ya milele π namkumbuka Chizi maarifa alivyo'reactWaliotafuna watakuwa wanakunywa njugu ya milele mi nilikuwa msomaji tu [emoji3]
Ule Uzi sjui ulipotelea wapi