Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Fanya kunitumia.Ahsante Mdogo wangu Mzuri mzuri!!!
Mbona picha umefuta tena eti?
Anyway.. ngoja nikutumie ile page no.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo Annie, habar za kwako?
[emoji2][emoji2] aiseeFanya kunitumia.
Picha yangu nitaweka ila yenye emoj.
Hiyo nilijiacha wazi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri mwaliko kwa hamu[emoji847]Sijambo Annie, habar za kwako?
Nakutumia mwaliko Eid soon Annie!!
Nmekuona Annie
Hivi sijakuomba picha eeh?[emoji2][emoji2] aisee
Ooooh[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sawa mdogo wangu..Ooooh[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nimekumbuka.
hata sijui nilikusahau vipi Jamani[emoji1751]
Hii niliiona
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ha ha ha!!!![emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nimeshakumbuka kweli uliweka,kipindi hicho Uzi ulikuwa Moto Sana.
Naomba nikuone na sura[emoji85]
Hata PM au hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umeguna nini tena, au unaona aibu nikikuita hivyo mbele za maex zako?Duuuh!!!
Na mie naomba[emoji848]
Hebu fanya kurudisha hiyo picha uliyofuta kwanzaThanks sister
Naomba na wewe uweke yako[emoji847]
Sijawahi kuiona hata kwa bahati mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayekuficha wewe na mzee mwenzio mwambie sio poa[emoji2][emoji2] aisee
[emoji116]
Asante kwa kunisaidia kumjibu.Hebu fanya kurudisha hiyo picha uliyofuta kwanza
Umepata[emoji848]Na mie naomba[emoji848]
The only thing to fear is fear itself
Hivi nimewahi kuwa na ex kweli? Wewe ndio wa kwanza ujue!!Sasa umeguna nini tena, au unaona aibu nikikuita hivyo mbele za maex zako?