Siku inaisha vizurii kabisa mkuuMuda mzuri huu, kazi zimeisha, Kinachofuata ni kupitia Coke Kubwa na chupa moja nzuri ya Sanitizer tukajisanitize nyumbani.
View attachment 1454195
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu nilikuwa nimesahau jina lake.
Huyu baaada ya kusomea ulozi akapewa masters kisha field yake yakwanza ilikuwa mochwari huko gamboshi
Daah kwahiyo sumbai na Noel Ngiama Makanda ndiyo mmeamua kufuta picha zenu kabla katibu mkuu wa huu uzi sijaziona siyo
Kama kweli vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kweli vile
Huyu baba sjui vp
Biblia inasema moyo uliyo changamka ni dawaKama kweli vile
Huyu baba sjui vp
Eti eehBiblia inasema moyo uliyo changamka ni dawa
komesha korona
Mambo wewe mdadaEti eeh
Nakipenda sana hiki kigari japo kipo kama kiberiti, toyota allex for town trip, nakaamua nikiongezee thamani na mziki wa kufa mtuView attachment 1454265
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakupea usijali 😂🚶🚶Ila we binti una kamguu kazuri. Tubadilishane basi.
Muda mzuri huu, kazi zimeisha, Kinachofuata ni kupitia Coke Kubwa na chupa moja nzuri ya Sanitizer tukajisanitize nyumbani.
View attachment 1454195
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nitalala usijaliHahaha, kumbe ile ndio mida mizuri ya kupost picha. Sema Depal ni popo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa majukumu yapo kaka humu tunaingia kufurahi na kujifunza tuMdogo wangu majukumu? Jukumu lako kuu ni kuingia kwenye huu uzi
komesha korona
Daah acha hizo aise. Unajua sijawahi kukuona hata kwa bahati mbaya eti.Hahaha, kumbe ile ndio mida mizuri ya kupost picha. Sema Depal ni popo.
Sent using Jamii Forums mobile app