Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Hayatibu upampula?
Hebu acha ujinga ukuje tujifukize.Good thing darling, vitu vizuri tu ujuwe!!
Ngoja nibebe mimba ya mdogo wako nitakukamulia.Hapana ukitaka kinitibu upampula labda unikamulie maziwa yako kidogo kwenye kilevi....wahenga wanasema inasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nibebe mimba ya mdogo wako nitakukamulia.
We tulia sibiri dawa, baada ya miezi tisa najua utapona.
..wiki ya kupiga nyungu si imeisha darling? Ilà kwa vile tunajifukiza mimi na wewe sina pingamizi kabisa.Hebu acha ujinga ukuje tujifukize.
Kwani darling kujifukiza ni lazima kuwe na vyungu? Hata blanketi tu inatosha. Please come do the needfull[emoji8]..wiki ya kupiga nyungu si imeisha darling? Ilà kwa vile tunajifukiza mimi na wewe sina pingamizi kabisa.
Tutafanya vyovyote ili mradi mfukizo uwe successful, halafu vile nimekumisi hata sichelewi.Kwani darling kujifukiza ni lazima kuwe na vyungu? Hata blanketi tu inatosha. Please come do the needfull[emoji8]
Haujanifikia mimi, i wish i cud fly.Tutafanya vyovyote ili mradi mfukizo uwe successful, halafu vile nimekumisi hata sichelewi.
Mwalimu wa kwanza ni mzazi, hongera sana![emoji871][emoji871][emoji871]View attachment 1451811
Natamani wanangu wangekuwa wanasoma kama hivi[emoji3526][emoji871][emoji871][emoji871]View attachment 1451811
Wawekee ratiba hata ya mara 3 tu kwa wiki. Unaangalia muda ambao unaweza kusoma nao....inasaidia wasisahau.
Izo hesabu Ni za mamoja kingozi?[emoji871][emoji871][emoji871]View attachment 1451811