Thread Inakimbia kweli 350km/hr. Sababu OP Mshana Jr anaisapoti haswaa. Thread ambazo OP wanazikimbia mara nyingi zinaishia posts chache.
All the best Mshana Jr A.K.A mzee wa Kilinge. You have my thumbs up.
Lo hiciste hombre
Wanapenda kutishana sana. Sasa kama mimi nianze kuogopa kukamatwa kweli?
Kwa kosa gani? Labda kama kuwa JF ni kuvunja sheria za JMT ndo nitakua na hofu zaidi ya pale ni privacy tu ukitegemea huku tunaandika vingi vingine vya uongo sasa unahofia anaekujua akiona inakuaje
Nina uhakika.Pengine huyu Dada aliweka kwa intention njema watu mfurahi
Maneno haya yatamkatisha tamaa siku zingine
Kwani ukitumia lugha laini Na ya busara utapungukiwa.
Be nice to people friend.You never about tomorrow