Hiyo nyingine inayoonekana ameianzisha Zoë hakuanzisha bali jf walijichanganya nadhani baada ya kuona ni mchangiaji bora kabisa kipindi hiko wakamtunuku na nyuzi..
Nadhani kuna tatizo la ufundi lilitokea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila sijauanzisha mimi mkuu, mods ndiyo walioutenganisha halafu nikajikuta tu wameniweka mimi kama OP.
Yeah kwa sababu hata ukiangalia inayoanza ni comment ambayo nilimquote Eli79 kwenye huu huu uzi, ila kule ile comment inaonekana eti ndiyo kianzishio changu cha uzi mwingine kama huu.Hiyo nyingine inayoonekana ameianzisha Zoë hakuanzisha bali jf walijichanganya nadhani baada ya kuona ni mchangiaji bora kabisa kipindi hiko wakamtunuku na nyuzi..
Nadhani kuna tatizo la ufundi lilitokea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hata sielewiSio vizuri ujue wanataka kutugombanisha ujue[emoji23]
Jr[emoji769]
Baada ya kutoa zawadi wakataka kuwachonganisha[emoji23][emoji23]Anastahili zawadi lakini iwe kubwa kuliko hii
Jr[emoji769]
Itakuwa walijichanganya tuYeah kwa sababu hata ukiangalia inayoanza ni comment ambayo nilimquote Eli79 kwenye huu huu uzi, ila kule ile comment inaonekana eti ndiyo kianzishio changu cha uzi mwingine kama huu.
Mtoto anaendeleaje????... My Love for low cut... View attachment 1405594
Mtoto yupi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabisaWashindwe.. Waambie hilo halitatokea kamwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
We picha yako iko wapi?
Hivi ulishaweka picha yako humu?Lock Down JamsView attachment 1425684