Chevy blazerTufanye iliyokaa juu juu, manake Mustang kwa road zetu za goba kwenda boko mbona nitaliburuza kila siku, hem taja la juu juu hakika usiku huu nitaota.
Unayajua magari, nitaota Blazer na Explorer... monsters hizo kwa rough terrains.Chevy blazer
Ford explorer
Aston martin DBX
Hata mini cooper Clubman na country man si mbaya
Weeeeh!! Hebu usinikumbushe. Bora useme hivyo hivyo ili nifaidi peke yangu[emoji12]Nakunyima nini tena, kile kiba100 tunagawana tu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Eeh kwani hautakua na visafari ?!Unayajua magari, nitaota Blazer na Explorer... monsters hizo kwa rough terrains.
Abee!Jamaaaniii auntie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wameipunguza tuu ila sukari ipoo
Napenda kupanda kwenye gari, sio kuingia kwenye gari! Vigari vya chini kwangu nah!!Eeh kwani hautakua na visafari ?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeeeh!! Hebu usinikumbushe. Bora useme hivyo hivyo ili nifaidi peke yangu[emoji12]
Hahaha sema suv gharama kinoma yaniNapenda kupanda kwenye gari, sio kuingia kwenye gari! Vigari vya chini kwangu nah!!
Mesahau mimi jamaniAbee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napigilia Msumari"Ndio maana mlishauriwa kuwa 'marry your best friend' coz kwa hali hii kama ulioa/uliolewa ili mradi tu, lazima uikimbie nyumba"
[emoji23][emoji23][emoji23]
Seconded !!Napenda kupanda kwenye gari, sio kuingia kwenye gari! Vigari vya chini kwangu nah!!
Zipo za "walalahoi", sio lazima twende kwa ford ama Chevz, hata SUVs za Nissan, Toyo na wenzie wajep. Ngoja niingie tena ndotoni goddess.Hahaha sema suv gharama kinoma yani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kilicho akilini kitumie
"Ndio maana mlishauriwa kuwa 'marry your best friend' coz kwa hali hii kama ulioa/uliolewa ili mradi tu, lazima uikimbie nyumba"
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah kuna hizi za ''great wall" sijajua mtonyo wao aiseeZipo za "walalahoi", sio lazima twende kwa ford ama Chevz, hata SUVs za Nissan, Toyo na wenzie wajep. Ngoja niingie tena ndotoni goddess.
Shee nahesabu tu mimi.Dah Shee vingine havifai kujadili upenuni ujue
Jr[emoji769]