How if utaondoa ngozi na mifupa yao then ukapika?Chemicals za kuwakuza hubaki kwenye bone marrow na ngozi... Kumbuka hawa kuku huitwa mazezeta yaani sio sharp kama wa kienyeji
Kwa sasa unaweza usione madhara but just take this piece of advice hao kuku si wazuri kiafya
Jr[emoji769]
Rudi kulala dear.Nilipokuwa shule hii ilikuwa ni gari ya ndoto yangu, naombeni niote tena jamani[emoji2307][emoji2307]View attachment 1423049
Auntie sijui nikununie[emoji134][emoji134]Habari za kipande hii, naona wageni tuu asa sielewi! Mekuwa msomaji tuu!..
Naweni mikono, corona ipo na inaua!
Sukari imepanda bei, kunywa maji mama.Mekaribia mimi jamani dear!
Mnipee mirinda nyeusi na keki!
Auntie unawezaje kuninunia mimi jamani!Auntie sijui nikununie[emoji134][emoji134]
Sijui nitaweza!!
Mirinda nyeusi jamani auntieSukari imepanda bei, kunywa maji mama.
Nitakuchapa ujue.Sio sana, kidogo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakuchapa ujue.
Sasa shee ujue sijasahau eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30]
Jr[emoji769]
Haina sukari siku hizi.Mirinda nyeusi jamani auntie
Ndio natafakari hapa, kama nitaweza basi nitakununia.Auntie unawezaje kuninunia mimi jamani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haina sukari siku hizi.
Jamaaaniii auntieNdio natafakari hapa, kama nitaweza basi nitakununia.
Thanx Goddess, you da best, Mustang dadeq!!Naomba this time uote mustang pulizzz
Ukitaka ingine we njoo tutatajiana majina tu[emoji38]Thanx Goddess, you da best, Mustang dadeq!!
Tufanye iliyokaa juu juu, manake Mustang kwa road zetu za goba kwenda boko mbona nitaliburuza kila siku, hem taja la juu juu hakika usiku huu nitaota.Ukitaka ingine we njoo tutatajiana majina tu[emoji38]
Nakunyima nini tena, kile kiba100 tunagawana tu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani unataka kuninyima nini lakini?
Nitakusemea kwa Sakayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nichape basi.