Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Hv uyoga hua mnatoa wapi mm naukosa jaman
Hua naskia mtamu ndo maana napambanaga niuonje ila sijawahi upata
Hua naskia mtamu ndo maana napambanaga niuonje ila sijawahi upata
mimi katika kivuli changu.
picha imepigwa dakika chache zilizopita nilipokuwa nafanya jogging kitaani kwangu.
Mshana Jr nakupa wazo.
unaonaje ukaanzisha thread ya kivuli changu challenge. [emoji274][emoji274]
View attachment 1414116

Sorry mkuu,Chatu
Jr[emoji769]
Kifutu anakuwa mrefu na mwembamba hivi mkuu?Sorry mkuu,
Ni Puff Ader uyo a.k.a Kifutu
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
[emoji122][emoji122]
cha kwangu kitakuwa na thamani kubwa sana. nitafutie mteja tupige hela.[emoji1]Dah hii inaweza kuleta shida.. Kivuli cha mtu dili ujue.. Between unajua watu wana vivuli vitatu?
Jr[emoji769]
Huyo sio mwembamba,labda Kama haujawahi kumwona kifutu live