What a semi lockdown look like.
View attachment 1400032
View attachment 1400033
View attachment 1400034
Nature is taking its cause.. Now animals can move freely but mortals are being locked inside
Jr[emoji769]
During Kikwete's moment
tumekula bata sana
Mke wangu alikua ni
Heaven Sent Mama ake alikua ni atoto japo nilikua na baba mkwe wengi mno atoto kila siku anasema huyu ndio baba mtoto. Ila yule muuza vifuniko vya utamu nadhani alikua baba mkwe halisi.
Mshenga alikua ni Raimundo na chawa wetu alikua ni Behaviourist mzee wa chura
It was a great experience,
Sasa muda umepita sielewi huyu Jael ndio atoto au Heaven Sent?
Ona leo tunakunywa K-Vant small bottle ya Tsh 4000/= tu!
Raimundo
Behaviourist
View attachment 1402223
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]During Kikwete's moment
tumekula bata sana
Mke wangu alikua ni
Heaven Sent Mama ake alikua ni atoto japo nilikua na baba mkwe wengi mno atoto kila siku anasema huyu ndio baba mtoto. Ila yule muuza vifuniko vya utamu nadhani alikua baba mkwe halisi.
Mshenga alikua ni Raimundo na chawa wetu alikua ni Behaviourist mzee wa chura
It was a great experience,
Sasa muda umepita sielewi huyu Jael ndio atoto au Heaven Sent?
Ona leo tunakunywa K-Vant small bottle ya Tsh 4000/= tu!
Raimundo
Behaviourist
View attachment 1402223
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha huwa nasoma threads na comments zenu za zamani, JF ya zamani ilikuwa moto hadi huwa najiuliza sijui nilichelewa wapi kujiunga wakati JF nimeifahamu muda mrefu sana.
Hii kitu iwe kiporo na kachai acha kabisa. Tukaribishane mkuu.
Hahah...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkwe wangu mswahili kuliko wooote[emoji134][emoji134]
Ukanifanya nikaandaa parking mwisho ikaota majani na kuwa kichaka. Sasa hivi nalima tu mbogamboga.
Heaven Sent ukuje mumeo kafufuka.
Haha huwa nasoma threads na comments zenu za zamani, JF ya zamani ilikuwa moto hadi huwa najiuliza sijui nilichelewa wapi kujiunga wakati JF nimeifahamu muda mrefu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani daaah those days acha tu[emoji134]
Usipoingia jf unajihisi kuumwa.