Ikiwezekana fanya mkuuSubiri nifanye mambo
Jr[emoji769]
Uzi umesuswa
Uzi umekuwa wa kishua huu wa buza tunapita kimya kimyaKuna kipindi ukipotea humu masaa matatu au mawili utakuta page 10+ hivi, siku hizi hata siku mbili bado page ile ile , sijui nini kimetokea.
Masela sijui wameenda wapi? Au Box limekaza.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Subiri nifanye mambo
Jr[emoji769]
Itakuwa kuna mtu kampiku kwa dawa πππMshana kuna watu wanasema huu uzi hawauoni !!