Duh, Bora Dungu, hapa ukikosa seat unapinda hadi unafika
. Ila nimekalia sana kiti moto pale mbele . Kuna siku palikua pamoto sana nikaweka Daftari langu jipya zuri sana kuna mtu aliniletea kutoka majuu , wakati nashuka nikalisahau roho inaniuma hadi leo
.
Sent from my iPhone using JamiiForums