Selfika na JF: Snap it. Show it

Dear ip_mob,
Sorry kwa kuingilia ila mimi nina ushauri.
Hii ni picha ambayo wewe umeiweka na umejaribu kufuta vitu vingi hadi imekuwa kama uchafu, badala yake ungeamua kufanya hivi
Yaani upige picha kwa namna ambayo haikulazimu kufuta futa namna hiyo.
Hii nayo unaweza kucrop tuu namna hii ukate vya siri visivotakiwa kuonekana .
Samahani kwa kuingilia, ni ushauri tuu.
 
Sawa Paula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam,, ni ushauri mzuri..

Nami nimeona,, ana mwili mzuri ila namna alivyoweka hayo marangi ndiyo anaharibu picha inakuwa mbaya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…