Unatumia simu gani best, ila
scorpio me kaniangusha sana nilijua ni mtoto fulani hivi wa mbezi beach huko, mtoto Mashaaalah kube nae ni jumba bovu tu anatuletea picha za mtandaoni tena bila hata aibu...
Kweli wanawake nyie niwakuogopa sana, unaweza zaa na mtu huko nje na ukashupaza shingo kabisa kwamba huyu ni mtoto wako, nimeogopa ujasiri wenu..
Ila wadada wa humu nyie ni kiboko...