Selfika na JF: Snap it. Show it

Huu uzi ni inspirational on one hand, lakini pia unaweza kukupa sononeko.
Hahaha kuna mwanangu kaukacha kwasababu ya hyo sononeko kaseba watu wanajimwambafy sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakua aliona watu wanapost ma Clark's mara visahani speed 360 akaona isiwe tabuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think it’s gross!

But then again I eat goat meat.

Labda ni vile tu sijakua nikiyanywa hayo maziwa ya mbuzi.

Nishakutana na watu ambao wao mbuzi kwao ni pet animal 🤣.

Ukiwaambia unakula mbuzi wanakushangaa!
Mie pia nyama naila vizuri sana ,kweli maziwa itakuwa kwasababu ya kutoyazoea tuu .
 
Hahaha kuna mwanangu kaukacha kwasababu ya hyo sononeko kaseba watu wanajimwambafy sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakua aliona watu wanapost ma Clark's mara visahani speed 360 akaona isiwe tabuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha, obvious. Kama huna kitu cha kushow off huu uzi siyo rafiki.

Ukute ndo wale wa aliyeko juu mngoje chini ndo kabisa utaukimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…