Kanikumbusha shanga,ilikatika basi sijavaa tena
Mpendwa wangu mzuri mzuri ukaribie nyumbani 😍😍
Nipo kukaribia mpendwa maana si mchezo..[emoji847][emoji7][emoji7]Mpendwa wangu mzuri mzuri ukaribie nyumbani [emoji7][emoji7]
Hapana
Hapana
Sio zotee hiii yangu A70 toka mwaka jana march sijawai jutia kuhusu betri wala charge