Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,701
- 96,674
Hahahaha, hujamtia ....yupo asee atakuja kukusalimia, kapumzika kdgHeheheee daaah ulivyomsifia sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hivi yupo kweli? Sijamtia siku nyingi kweli....
Ooops....yaani sijamtia machoni. Siyo kumtia ile kivingine [emoji1].
Hahahaha, hujamtia ....yupo asee atakuja kukusalimia, kapumzika kdg
Mtoto mrembo ana stahiki kusifiwa
Kwan bro, hii picha imechorwa???
Hahahaha, eti eehMrembo kweli kweli yule mtoto.
Miezi yote mitatu ukose picha?Watu siku hizi hawatumi picha dada,, yani nakosa hata picha za kusave mimi jamani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan bro, hii picha imechorwa???
Changes[emoji352]
Ouh. Kumbe ulimaanish hivo, ishu za kawaida mzee.. By the way, kapendaga tu ile hali ya wingu
Wakati ulee unapoamka huoni Altama zako ziko wapi.....unaamua kuchanganya tu mafaili[emoji23][emoji23]
Staff shoes vs KitengeView attachment 1348323
Sent using Jamii Forums mobile app
Semina inaisha lini?
Nimeropoka tu