Nipo Mkuu, naona warembo wenu wa JF wanakimbilia kutuwekea picha za google, tafasiri yake ni kwamba wengi wao humu ndani ni mabingwa wa kufake maisha...
Halafu muwaambie na waume zenu wawanulie hata simu zenye kamera nzuri, naona wengi humu mnatumia simu za low quality ndio maana wengi wenu mnaonekana kama mmetoka sutimbi huko ndanindani wakati mna mashape ya ukweli...