Wekeni picha sasa hivi watoto wapo shule [emoji1787]
View attachment 1337812
Sent from my iPhone using JamiiForums
We used them 🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Boda au jiwe?
Jr[emoji769]
Ooh kichwa cha binadamu ni kigumu mno... In fact mwili wote
Jr[emoji769]
Akhsante nishapoa[emoji120]
Akhsante nishapoa[emoji120]
Sikuumia sana Hadi kufika Kwenye Hiyo stage..ila Cha Moto nilikiona.
Kisa changu niliweka Kwenye Uzi flani wa mishil,title ya Uzi Ni tuliowahi kunusurika kifo.
Ila ajali Ni mbaya na inatisha Sana kwa wote, anayegonga na anayegongwa
Sent using Jamii Forums mobile app