Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie huwa naishi popote sina shida kabisa,, ila tu hiyo sehemu kuwe na maji, umeme na mtandao na kusiwe na wanyama wakali, wadudu hatari wala vibaka basi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napenda porini...yaani kuwe kimya kumetulia.
Bahati mbaya Sana sijabahatika kuishi huko
naishi uswahilini kelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie kusema kweli maeneo ya kwanza ninapopenda kuishi ni karibu na bahari yaani napenda nikitoka tu nje ya geti langu ufukwe huu hapa,, baada ya bahari sasa ndiyo napenda maeneo yaliyo karibu na milima yaani napenda nikitoka tu nje ya nyumba yangu mbele yangu nitazame bonge moja la mlima..
Mimi napenda porini...yaani kuwe kimya kumetulia.
Bahati mbaya Sana sijabahatika kuishi huko
naishi uswahilini kelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko milimani ndio kuzuri Sasa.
Baharini nikafanye Nini hata kuogelea sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…