Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata ukiwa umelala niweke tu?

Hapa vipi sasa?

Kiranga the Unorthodox.View attachment 1333024
Hii picha ilibidi iwe na quality ya miaka ya 90 -2000 Mr. Ila kwa haya mandhari inaonekana ni ya 2015-2020.
Ambapo kwa namna uliingia Webster Hall 2007, na heshima uliyopewa, na kummaliza James H Chase miaka ya 80-90 huu hauwezi kuwa umri wako[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Umeona eeh!?
Hawezi kuwa mdogo hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…