Ulishawahi kuchezeshwa karata tatu?
, kamwe hushindi yani utaishia kutapeliwa. Michezo yote ya kubahatisha na kamari za aina zote haina tofauti na karata 3, Uzuri wao hawa ni kwamba wao wanalipa kwa baadhi ya washindi.. Na kinacholipwa hakitoki mifukoni mwao bali kwa wachezaji wengine...