Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanza nielekeze namna ya kupata namba ya nida.
Ulisema 152 ,halafu naenda sehemu gani???
Sitaki kufungiwa Mimi[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumia hii njia pia iko vizuri.
Ingiza Jina la kwanza*Jina la mwisho*Tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa*Jina la kwanza la Mama*Jina la mwisho. Mfano IMA*ALI*3101980*EVA*DEO. Tuma kwenda 15096

Mfano
SAINT*ANNE*16082001*MAMA*ANNE

Halafu tuma kwenda 15096
 
Tumia hii mbinu ni nzuri zaidi.

Ingiza Jina la kwanza*Jina la mwisho*Tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa*Jina la kwanza la Mama*Jina la mwisho. Mfano IMA*ALI*3101980*EVA*DEO. Tuma kwenda 15096

Majina yote yawe kwa herufi kubwa.
Leo nitafwata maelekezo yote..[emoji1]
Akhsanteni[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama umepatia mwaka wake wa kuzaliwa

Cc Saint anne [emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…