Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,056 Reaction score 8,543 Sep 30, 2019 #5,001 Depal said: πππ nilipe ticher Click to expand... wewe tena;
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,094 Sep 30, 2019 #5,002 Mkuu Mabadiliko ni process ndefu mfano tulivyotoka kweny ujamaa(utumwa) alioweka Yule mzee mwenye mvi mpaka hapo tulipo Hivyo tutabadilika itachukua mda kuendana na hali Saint anne said: Naomba Leo usiende. Effort yangu yote ile asbh...aisee Click to expand...
Mkuu Mabadiliko ni process ndefu mfano tulivyotoka kweny ujamaa(utumwa) alioweka Yule mzee mwenye mvi mpaka hapo tulipo Hivyo tutabadilika itachukua mda kuendana na hali Saint anne said: Naomba Leo usiende. Effort yangu yote ile asbh...aisee Click to expand...
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Sep 30, 2019 #5,003 Tatizo lako huitumii Google Cresida said: Yaani nimecheka sana sana mzee toboa kajua kunikomeshea watu halafu jana nlijua picha za ukweli kumbe mashokoro mageni. Click to expand...
Tatizo lako huitumii Google Cresida said: Yaani nimecheka sana sana mzee toboa kajua kunikomeshea watu halafu jana nlijua picha za ukweli kumbe mashokoro mageni. Click to expand...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,380 Reaction score 88,736 Sep 30, 2019 #5,004 Ijumaa hii sawa Pulisic CFC said: Bas ijumaa hii Click to expand...
baraka bb JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 2,690 Reaction score 3,901 Sep 30, 2019 #5,005 Karma said: Hahahaha Soudy Brown karibu kila siku watu wanamuona macho ila wengi wao hawajawahi kuijua sura yake ikoje Click to expand... kwa hyo bora ningetuma macho
Karma said: Hahahaha Soudy Brown karibu kila siku watu wanamuona macho ila wengi wao hawajawahi kuijua sura yake ikoje Click to expand... kwa hyo bora ningetuma macho
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Sep 30, 2019 #5,006 Depal said: Usijaribu kumchezea simba sharubu Click to expand... Yaani nikajipeleke shimoni najiona, Kwa mjeda.aisee
Depal said: Usijaribu kumchezea simba sharubu Click to expand... Yaani nikajipeleke shimoni najiona, Kwa mjeda.aisee
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Sep 30, 2019 #5,008 MLEVi Mmoja said: Mkuu Mabadiliko ni process ndefu mfano tulivyotoka kweny ujamaa(utumwa) alioweka Yule mzee mwenye mvi mpaka hapo tulipo Hivyo tutabadilika itachukua mda kuendana na hali Click to expand... Inategemea na Aina ya mabadiliko. Acha kulinganisha ujamaa na utumwa na vitu vya ajabu. Utanifanya nijione nimefanya kazi zero
MLEVi Mmoja said: Mkuu Mabadiliko ni process ndefu mfano tulivyotoka kweny ujamaa(utumwa) alioweka Yule mzee mwenye mvi mpaka hapo tulipo Hivyo tutabadilika itachukua mda kuendana na hali Click to expand... Inategemea na Aina ya mabadiliko. Acha kulinganisha ujamaa na utumwa na vitu vya ajabu. Utanifanya nijione nimefanya kazi zero
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,792 Sep 30, 2019 #5,009 Meeyah said: Namaste.. Click to expand...
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,938 Sep 30, 2019 #5,010 Saint anne said: Asaidie Nini? Click to expand... Asaidie tu ..kwa yote
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,504 Reaction score 203,226 Sep 30, 2019 #5,011 Sanchez magoli said: Ndo apo sasa kama nimeitoa Gugo. Click to expand... Ataelewa tu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Sep 30, 2019 #5,012 Sanchez magoli said: Ndo apo sasa kama nimeitoa Gugo. Click to expand... Haijatoka gugo ile. Za gugo nazijua...hata Mimi mbona nimeziweka kule juu.
Sanchez magoli said: Ndo apo sasa kama nimeitoa Gugo. Click to expand... Haijatoka gugo ile. Za gugo nazijua...hata Mimi mbona nimeziweka kule juu.
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Sep 30, 2019 #5,013 Nielekeze jinsi ya kutumia boss kama ile ya scorpion PTER said: Tatizo lako huitumii Google Click to expand...
Nielekeze jinsi ya kutumia boss kama ile ya scorpion PTER said: Tatizo lako huitumii Google Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Sep 30, 2019 #5,014 Avatar mok said: Asaidie tu ..kwa yote Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Sep 30, 2019 #5,015 Depal said: Ataelewa tu Click to expand... Kwa mjeda siwezi elewa lolote. Nilishakatwa maini na ule mkono baada ya kuona neno tz pale begani
Depal said: Ataelewa tu Click to expand... Kwa mjeda siwezi elewa lolote. Nilishakatwa maini na ule mkono baada ya kuona neno tz pale begani
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Sep 30, 2019 #5,016 Wembamba nao unachangamoto zake ukitembea unatimua vumbi hata kwenye Tiles Saint anne said: Wacha nibaki hivi hivi Click to expand...
Wembamba nao unachangamoto zake ukitembea unatimua vumbi hata kwenye Tiles Saint anne said: Wacha nibaki hivi hivi Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Sep 30, 2019 #5,017 PTER said: Wembamba nao unachangamoto zake ukitembea unatimua vumbi hata kwenye Tiles Click to expand... Nilishazoea
PTER said: Wembamba nao unachangamoto zake ukitembea unatimua vumbi hata kwenye Tiles Click to expand... Nilishazoea
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,504 Reaction score 203,226 Sep 30, 2019 #5,018 Saint anne said: Kwa mjeda siwezi elewa lolote. Nilishakatwa maini na ule mkono baada ya kuona neno tz pale begani Click to expand... Hamna chochote aliamua kututisha tu
Saint anne said: Kwa mjeda siwezi elewa lolote. Nilishakatwa maini na ule mkono baada ya kuona neno tz pale begani Click to expand... Hamna chochote aliamua kututisha tu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,525 Reaction score 830,072 Sep 30, 2019 Thread starter #5,019 Avatar mok said: View attachment 1219936 Click to expand... Hizi hazinogeshi mada
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Sep 30, 2019 #5,020 Zahra White mama umepotea sana njoo utuokoe hapa maana na wewe mhhhh si mchezo. MLEVi Mmoja said: TAHADHARI TAHADHARI KAMA HATUTAONA MDADA MWENGINE JF MWENYE UMBO KAMA MAMA TINGINYA BASI TUTAWAPOKONYA POINT Click to expand...
Zahra White mama umepotea sana njoo utuokoe hapa maana na wewe mhhhh si mchezo. MLEVi Mmoja said: TAHADHARI TAHADHARI KAMA HATUTAONA MDADA MWENGINE JF MWENYE UMBO KAMA MAMA TINGINYA BASI TUTAWAPOKONYA POINT Click to expand...