Oooh Wish Could be There..Sana...
Watu Kama nyie mnarufanya tufurahi watu Kama sisi ambao huwa hatuwezi kucheka huku nje.
Vishirikishi vipo...
Pale chss Ni noma Sana..yaani yule chair wao wavishirikishi ukitoka pale huna mbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh Wish Could be There..
Ila kipindi chetu mambo Yalikuwa Bambam!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitahidi kutunza asee..
Kama kawaida yetu mzee!
Mwaka huu Nilipita ila ilikuwa usiku nikashindwa Kupandisha huko...
Karibu Sana associate wetu[emoji7][emoji7]Mwaka huu Nilipita ila ilikuwa usiku nikashindwa Kupandisha huko...
Next Time nitajitahidi nije Kusalimia huko....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tuma tu meseji kwenye I'd yoyote mpya.
Mbona hunijibu toka asubuhi nakutumia sms au huoni. Haya ndiyo yanafanya natukana watu na kupigwa ban.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwanini unakuwa mkorofi hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenitumia Mimi message!?Mbona hunijibu toka asubuhi nakutumia sms au huoni. Haya ndiyo yanafanya natukana watu na kupigwa ban.
Yah toka asubuhi ya leo.
Basi nitumie wewe tuone.
Hata nyie wamasai mnanyooshwa vizuri tuu.