moja kati ya watu maarufu duniani wanaokula bata mpaka kuku anaona wivu ni dan bilzerian.
huyu jamaa ni playboy maarufu sana huko "unyamwezini", picha zake nyingi huwa anaonekana kuzungukwa na walimbwende mbalimbali.
hii ni recap ya baadhi ya bata alizokula mwaka jana.
View attachment 1310403