Huwa ni aibu kubwa kumtokea mtu mara 2 mwenye id 2 tofauti[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee naongeza siku za kuishi tu hapa, maisha mafupi sana mzee.
Kuna mmoja hakunitambua kabla, wakati mimi nilishamfahsmu mapema, huwa akikumbuka anacheka sana[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
What a good morning , jumatatu kinanuka zaidi . Mere krisimasi my nduguz
Wadada wa hivi humu mpo wangapi?View attachment 1308125
Nimekukamata ehhh
π π π π π€¦ββοΈ
Umenikamata nafanya kosa gani [emoji23][emoji23]Nimekukamata ehhh
Sio michezo bali tulikuwa na ukaribu wa jukwaani na utani wa hapa na pale na hspskuwa chochote siriaz, tena yuko humu anatusoma na ku like[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app