Ukikua nawe utafaidi.
Wow that cute my dear
Akatunze ahadi, nasubiri akawajibikeNimeweka mamii fatilia comments [emoji1][emoji1][emoji1]umenichekesha
Hahahahahhaha tatizo unasinzia sanaAh Hawachi rudisha hiyo picha Hawachi naomba usinitafute maneno mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeweka mamii fatilia comments [emoji1][emoji1][emoji1]umenichekesha
Kafaidi mara ngapi hako [emoji4]
Mimi sijui nipo kwenye kundi gani hapo hahahahahah ngoja nijitafakariHahahaha hapo nimemaanisha wakubwa kiuchumi kaka siyo kiumri,, kuna mibaba inashindwa kufaidi vitu kama hivyo sababu ya ubahili na kuna vikaka vinaweza kufaidi vitu kama hivyo sababu ya kumwaga dinero tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unaamka mangi?
Msifute picha jamani watu wengine tunapita kimya alafu hatuna ubavu wa kuziomba uko mtaa wa saba
Yaani unaweka mia then unapata mia na ishirini...hiyo ishirini ndio faida tunayoongelea [emoji41][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]kwani wenzangu kufaidi kupi mnakokuongelea??
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh!! Hapo sawa. Nikajua ndio waamka, wakata mning'inio.Duuh hapana aisee nishaamka tangu saa 11 alfajiri ndio nimepata muda wa kula
Oooh yeah!!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Hahahaha hapo nimemaanisha wakubwa kiuchumi kaka siyo kiumri,, kuna mibaba inashindwa kufaidi vitu kama hivyo sababu ya ubahili na kuna vikaka vinaweza kufaidi vitu kama hivyo sababu ya kumwaga dinero tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa mkwe...ila surprises zako utapata nami mkweo nimepanga surprise ya kuja kule najua upo [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kafaidi mara ngapi hako [emoji4]
Upo pande zipi unadeki nije kuchukua kavideo😄😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usicheke mie niko serious,, nimekuta umeifuta.. [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kaweka hahahaha umepitwaaa etiiii,naomba ukakaushe ziwa sio bahari tena sasa hivi tena ziwa nyasa lile Karma we si upo mbeya-kyela