basi sawa.
ila hii ya kwangu sidhani kama imekamilisha vigezo vya kuitwa hyperlapse video. mimi naona ni video ya kawaida tu ikiwa katika mfumo wa GIF.
NB: itabidi ubongo wangu niufanyie upgrade kidogo kuhusu tofauti ya hyperlapse,timeslapse na GIF maana katika teknolojia ya vifaa vya kidijitali, kila siku vinabuniwa vitu vipya.