leo ni wikiendi na hali ya hewa ya dar es salaam ni ya unyevunyevu na mvua za hapa na pale.
kwa sasa nipo hapa mlimani city mall nimekuja kufanya manunuzi kidogo.
natoa lesson ndogo.
kama mda huu upo mlimani city jirani na tawi la crdb bank au jirani na danube home, halafu ukapishana na mkaka maji ya kunde,mrefu kiasi, kavaa tshirt nyeupe(haina maandishi yoyote), kaptula nyeusi ya kaki na miguuni kavaa adissage slide sandals, basi jua ni mimi.
nipige picha kwa kuibia halafu itume hapa. nitakupa zawadi. fanya haraka kabla sijandoka eneo hili.
View attachment 1299187