Mpaka sasa nishaona ndugu zangu wawili mmoja mtoto wa shangazi mwingine mtoto wa baba mdogo huyu mtoto wa shangazi picha alorusha humu kasahau kuwa na isragram kajirushia hiyo hiyo..
Huyu wa baba mdogo yeye alipopigia hiyo picha na mimi nilikuwepo na siku hiyo tulikuwa kwenye kipaimara cha mtoto wa brother yetu.