Jamani huu uzi ni mtraaaaaaaaaaaaaaam.
Kumbe ndio maana nyuzi nyingine hazina wadada maana mmejificha huku.
Sasa ngoja nimalizie kibarua nirudi nyuma nisome comments.
Hahhahahahahah huyo mjinga mmoja tuliompa kiki imetosha, sasa na yeye anatamani kujibiwa na sisi watoto wazuri apate kiki afu anajidai "sitaki kushambuliwa" nani sasa ana muda nae.