Lol NaddySL alisema itakuwa mods wameona mimi ndiyo nacomment sana humu kwahiyo wameamua kunizawadia uzi mzima,, na kusema ukweli hapo kwenye point ya kucomment sana humu aliongea ukweli kabisa yaani hadi nikajishitukia..