View attachment 1296718
Thank you Dadii for the birthday wishes from your office..... Mmuuah!!
Please send my warm regards to Derek and Vissie for wishing me a happy birthday.
Granny Matata.
Toa sababu mbili za kuthibitisha statement yako.
EPL kitambo sana mkuu...Ewaaaa, mkuu don't tell me ulikuwepo enzi zetu..
Sinaga nyingi, it's Arsenal, Madrid na Leeds United
Hizi zangu kabisa toka miaka ile ya 96 ndipo nilipo anza ushabiki wa hizi team
[emoji106]Karibu Chiqui
Huenda big mama! Ilà timu ukiipenda haijalishi. Come rain come nini sijui, we're the gunners!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ninayo moja tu,, kama umeweza kuvumilia vitimbwi vya arsenal basi sidhani kama utashindwa kuvumilia vitimbwi vya mkeo.. unaonekana una uvumilivu wa hali ya juu sana ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nilikuwa darasa la kwanza[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]ukiwa una miaka mingapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
ID yangu ya zamani nimeikimbia kisa madeni sasa nikiitaja hapa itaibuka 3 world warMbona huna hata comments!!
ID yako ya zamani ni ipi eti mkuu!
Huenda big mama! Ilà timu ukiipenda haijalishi. Come rain come nini sijui, we're the gunners!!