Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 5,039
- 12,769
😹😹😹wanaingiaje hapaPicha kwa wazungu mamaa
😹😹😹wanaingiaje hapaPicha kwa wazungu mamaa
We subiri😹😹😹wanaingiaje hapa
Una kijiji 😹😹Wangu wapo kwa mama zaoo
Only 3Una kijiji 😹😹
Wako wangapi?
Kwanini mnawaacha kwa mama zao na mliwatafuta wote??
Dogo namzingatia sana natizima wajibu aje afeli tu yeye; Mimi nilisoma shule za vidumu na maji ye nime muanzishia kindagarten huko napasuka si chini ya 2m. Anacho nipa moyo ninaona zipo nyingi kama baba ake.Tunaenda naye 😹😹
Yani chino na binti yako huambiwi kitu, utakua kama Shetta na Kayla..
Nimependa bond yenu baba na mtoto 😍
Huyu vidume baadaye kumdanganya wafanye kazi..!!
NNilikuambia siku nikikuona mtaani nakuita😹😹😹😹😹😹😹😹🤩unakaaaa poaaaaa🔥🔥🔥🔥🥳🥳🥳🥳
Nimekufananisha na mwizi mmoja wa kachori makumbusho.
Kuniona ndo mtitiNNilikuambia siku nikikuona mtaani nakuita😹😹😹😹😹😹😹😹🤩unakaaaa poaaaaa🔥🔥🔥🔥🥳🥳🥳🥳
Ndo mimiNimekufananisha na mwizi mmoja wa kachori makumbusho.
Nina passport 😂😂😂😂😂Kuniona ndo mtiti
Mhmmm..!! 😹😹Only 3
Ameen!!Wow li auntie langu lishunuuu mwah 😘 💋
New graduate in town 😹😹🔥🔥
Mungu aendelee kumpa kibali awe binti mwenye hekima na akili..!!
Chino una binti mzuri 🥰🥰
Rangi Kama ya auntie yake Lamo awwww 😍😍
Dua sana mzeeHongera sana mzee
Hapo umefanya vizuri, wewe sasa ndo unajua kulizingatia bao lako..!!Dogo namzingatia sana natizima wajibu aje afeli tu yeye; Mimi nilisoma shule za vidumu na maji ye nime muanzishia kindagarten huko napasuka si chini ya 2m. Anacho nipa moyo ninaona zipo nyingi kama baba ake.
Hapo ni shule jioni anakuja ostazi home anakula madrasa
Nimeiona imewaka kabla hata haijapata skincare 😹😹Ameen!!
Haha rangi adimu kama iyo yako.